NEWS

Tuesday 22 June 2021

PICHA YA SIKU - Taswira ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini)HALMASHAURI ya Wilaya ya Tarime (Vijijini) inatajwa kuongoza kwa kukusanya mapato mengi mkoani Mara, yakiwemo mabilioni ya fedha kutoka Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, lakini bado madiwani wake wanaendelea kutumia viti vya wanafunzi na ukumbi wa Shule ya Sekondari ya JK Nyerere iliyopo Nyamwaga wilayani humo kuendesha vikao vyao, kama walivyokutwa na camera ya Mara Online News, hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages