
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es Salaam, Desemba 17, 2025.

Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment