NEWS

Tuesday 13 July 2021

Wahifadhi wawasili Tarime Mjini kuzindua uuzaji tiketi za utalii wa ndani katika Hifadhi ya Serengeti



Maafisa Uhifadhi Wakuu, Tutindiga George (kushoto) na Masesa Augustine kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, wakisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mara Online mjini Tarime leo Julai 13, 2021, tayari kwa uzinduzi wa uuzaji wa tiketi za safari ya kwenda kufanya utalii wa ndani "kuwapokea nyumbu" katika hifadhi hiyo, ambapo uzinduzi huo unafanyika kwenye Hoteli ya Goldland. Katikati ni CEO wa Mara Online, Jacob Mugini. Safari hiyo yenye kaulimbiu inayosema "Wanyamapori Wetu, Utalii Wetu", inaratibiwa na Mara Online kwa kushirikiana na Hoteli ya Goldland.


Wahifadhi wakifurahia kusoma gazeti la Sauti ya Mara linalomilikiwa na taasisi ya Mara Online, ambalo hutoka kila Jumatatu.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages