NEWS

Monday 12 July 2021

Watalii wa ndani waanza kununua tiketi za kuwapokea nyumbu SerengetiMtalii wa ndani (kushoto) akinunua tiketi kutoka kwa CEO wa Mara Online mjini Tarime jana, kwa ajili ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti - kupokea makundi ya nyumbu, kupitia lango la Lamai lililopo katika kijiji cha Karakatonga wilayani Tarime. Safari hiyo yenye kaulimbiu inayosema "Wanyamapori Wetu, Utalii Wetu", itafanyika Julai 25, 2021. Tiketi bado zinapatikana kwa bei nafuu katika ofisi za Mara Online mjini Tarime, mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages