NEWS

Monday 16 August 2021

Shule za msingi Tarime Vijijini zakabiliwa upungufu mkubwa madarasa, madawati



SHULE za msingi za Serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini) zinapitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, madawati, vyoo, walimu, nyumba za walimu na ukosefu wa maji ya uhakika, licha ya halmashauri hiyo kuwa na makusanyo makubwa ya fedha, yakiwemo mabilioni yanayolipwa na Mgodi wa Dhahabu wa North Mara. Habari ya kina kuhusu taswira ya shule hizo itachapishwa Jumatatu ijayo kwenye gazeti la Sauti ya Mara.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages