NEWS

Sunday 1 August 2021

Watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha ajali ya lori mjini Tarime

Lori lililopata ajali

WATU kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa, baada ya lori aina Scania kumshinda dereva na kupoteza mwelekeo, wakati likitokea barabara ya Nyamwaga kuingia mjini Tarime, mkoani Mara.

Ajali hiyo imetokea leo Agosti 1, 2021 saa 12 jioni, ambapo lori hilo limegonga watu kadhaa barabarani, kabla ya kuanguka.

Mara Online News inaendelea na juhudi za kuwapata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime-Rorya na Mganga Mkuu wa Wilaya ili kuzungumzia ajali hiyo.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages