NEWS

Saturday 9 October 2021

Rais Samia amtengua RC Sengati Shinyanga, amteua Mjema
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Sofia Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa (RC) wa Shinyanga, kuchukua nafasi ya Dkt Philemon Sengati (pichani juu) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.


RC mpya Shinyanga, Sofia Mjema

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkugenzi wa Mawasiliano ya Rais – Ikulu, Jaffar Haniu, jana Ijumaa, Mjema ambaye kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, ataapishwa pamoja na wateule wengine wa Rais, keshokutwa Jumatatu Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

#MaraOnlineNews-Update

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages