NEWS

Monday, 29 November 2021

Utalii wa ndani: Wataalamu wa ustawi wa jamii wafurahia kutembelea Hifadhi ya Serengeti



KUNDI la watalii wa ndani ambao ni wataalamu wa ustawi wa jamii kutoka mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Dar es Salaam, wakifurahia picha ya pamoja ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Jumapili iliyopita.

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages