WANAWAKE mkoani Mara wameendelea kuhamasika kushiriki safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuelekea Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka. Kulia ni mmoja wa wanawake hao aliyefika ofisi za Mara Online leo kununua tiketi yake tayari kwa safari hiyo itakayofanyika Machi 6, 2022.
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment