Kundi la watalii wa dani zaidi ya 50 kutoka wilaya za Tarime, Rorya na Serengeti mkoani Mara wakiwa katika picha ya pamoja na wahifadhi wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, walipotembea hifadhi hiyo jana
Oh wonderful, asante sana: Ndivyo anavyoelekea kusema mmoja wa watalii hao baada ya kupewa zawadi ya kikombe na wahifadhi wa Serengeti
Watalii hao wakifanya mazoezi ya viungo hifadhini
Baadhi ya watalii wa ndani wakishiriki mchezo wa kuvuta kamba hifadhini hapo
(Picha zote na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment