NEWS

Tuesday 19 April 2022

Gazeti la Sauti ya Mara halipoi, makada wa CCM walichangamkia kikaoni


VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka kata mbalimbali zinazounda wilaya ya Tarime mkoani Mara, wakipitia kwa makini habari na makala motomoto zilizochapishwa kwenye toleo la jana Jumatatu la gazeti la Sauti ya Mara, kama walivyokutwa na camera ya Mara Online News mapema leo, kabla ya kuanza rasmi kikao ndani ya ofisi ya wilaya ya chama hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages