
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Marwa Daudi Ngicho (katikati) na viongozi wengine wakipokea Mwenge wa Uhuru katika Uwanja wa Tarafa mjini Sirari jana. (Picha na Ernest Makanya wa Mara Online News)
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Angelina Marco Lubela (aliyevaa kitambaa cha njano kichwani), akiwa kwenye mstari kuelekea kupiga kura wilayan...
No comments:
Post a Comment