NEWS

Wednesday, 17 August 2022

Mwekezaji mzawa Peter Mwera azuru ofisi za Sauti ya Mara



Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini (kushoto) akimkabidhi mwekezaji mzawa Peter Mwera nakala ya toleo la wiki hii la gazeti hilo, wakati alipotembelea ofisi za Sauti ya Mara jana na kufanya mazungumzo maalumu na Mhariri huyo. Mwera ni mwekezaji katika sekta mbalimbali zikiwemo za elimu, afya na ufugaji samaki. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages