NEWS

Wednesday 24 August 2022

Sensa 2022 Updates: Mhariri wa Mara Online News ahesabiwa mapema leo


Mhariri Mtendaji wa Mara Online News na Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini (kulia), akiulizwa na kujibu maswali kutoka kwa Karani wa Sensa ya Watu na Makazi (kushoto) aliyemtembelea nyumbani kwake mjini Tarime, mapema asubuhi leo Agosti 24, 2022.

Jacob pia ni Mjumbe wa Kamati ya Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Tarime, na amekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi kushiriki sensa hiyo kikamilifu kwa maendeleo ya Taifa.
 

Jacob na mke wake, Rhoda wakiagana na Karani wa Sensa kwa furaha baada ya kuhesabiwa nyumbani kwao mapema asubuhi leo.

#Sansa2022-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages