NEWS

Tuesday, 2 August 2022

Wanafunzi wa vyuo vikuu watembelea Sauti ya Mara



Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini (kulia), walipotembelea ofisi za gazeti hilo kujifunza masuala ya ubunifu leo Agosti 1, 2022. Wanavyuo hao wako kwenye mafunzo ya vitendo (field) katika Halmashauri ya Mji wa Tarime. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages