NEWS

Thursday 10 November 2022

Tabasamu la Mwenyekiti mpya wa CCM Serengeti akisoma Sauti ya Mara

Mwenyekiti mpya wa CCM Wilaya ya Serengeti, Mrobanda Japan (kushoto), akifurahia nakala ya gazeti pendwa la Sauti ya Mara, alipokutana na Mwandishi na Mhariri Mtendaji wa gazeti hilo, Jacob Mugini, jana. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages