NEWS

Friday 11 November 2022

Mara Online wakabidhi t-shirts kwa washiriki wa Serengeti Safari Marathon 2022


CEO wa Mara Online, Jacob Mugini (kushoto) akiwakabidhi wafanyakazi wa NSSF Shinyanga t-shirts za Serengeti Safari Marathon 2022 katika eneo la Ndabaka Gate - Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, leo jioni. Wakimbiaji zaidi ya 600 wamejisajili tayari kwa kushiriki mbio hizo zitakazoanza alfajili kesho Jumamosi Novemba 12, 2022 ndani ya hifadhi hiyo bora Afrika.

Picha zote na Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages