NEWS

Saturday 24 December 2022

Mwenyekiti CCM Mara, RC wakabidhi zawadi ya Sikukuu iliyotolewa na Rais Samia kwa watoto Tarime Vijijini


MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi Marwa (wapili kutoka kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee (katikati), mapema leo Desemba 24, 2022 wamesindikizwa na viongozi wengine kukabidhi mkono wa Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa kimojawapo cha vituo vya kelea watoto kilichopo wilayani Tarime. Zawadi hiyo imetolewa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages