NEWS

Saturday 31 December 2022

Rais Samia, Mbowe wakutana Ikulu kwa maridhiano ya kisiasa


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana (kulia), mara baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 31, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages