NEWS

Wednesday 18 January 2023

Uwekaji jiwe la msingi mradi wa SGR Shinyanga

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi Marwa (katikati), Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Joyce Ryoba Mang'o (kulia) na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt KHamis Kigwangalla (kushoto), wakiwa kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora-Isaka (km 165) mkoani Shinyanga, leo Januari 18, 2023 ambapo mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages