NEWS

Saturday 18 February 2023

Waziri wa Elimu afanya ziara Chuo Kikuu cha Mwl JK Nyerere cha Kilimo na Teknolojia wilayani Butiama


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda (mwenye fulana) leo amefanya ziara katika Chuo Kikuu cha Mwl JK Nyerere cha Kilimo na Teknolojia wilayani Butiama, Mara kukagua maandalizi ya ukarabati wa majengo ya muda na ujenzi wa chuo hicho.

Waziri Mkenda (kulia), Makamu Mkuu wa Chuo, Prof Lesakit Mellau (kushoto) na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala, Prof Msafiri Jackson katika ukaguzi wa maandalizi ya ukarabati wa majengo ya muda na ujenzi wa chuo hicho. 
(Picha zote na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages