NEWS

Thursday 30 March 2023

Rais Samia ateta na Makamu wa Rais wa Marekani Kamala jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages