NEWS

Wednesday 26 July 2023

HABARI PICHAKaribu sana mkoani Mara: Ndivyo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Joyce Mang'o anavyoelekea kumwambia Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana alipowasili mkoani humo jana. Kinana anatarajiwa kuhutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mkendo mjini Musoma leo Julai 26, 2023.

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages