
MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillius Wambura (mwenye fulana nyekundu), Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Patrick Chandi (mwenye tai) na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mohamed Mtanda (wa pili kutoka kushoto waliokaa mbele) wakifuatilia jambo wakati wa mazishi ya mfanyabiashara Magori Chacha ambaye ni kijana wa kada wa CCM, Silvanus Chacha maarudu kwa jina la Zembwela, mjini Musoma jana.
No comments:
Post a Comment