
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Septemba 3, 2023 alifanya uteuzi wa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Majaji wanne wa Mahakama ya Rufani na Majaji 20 wa Mahakama Kuu.


Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi (katikati) akitoa maelekezo kwa wajumbe wa CDC wanaoshiriki mafunzo yaliyoandaliwa na Barrick Nort...
No comments:
Post a Comment