NEWS

Wednesday, 13 September 2023

Rais Samia awaombea wanafunzi wa darasa la saba baraka za Mungu katika mitihani yao iliyoanza nchini kote leo



Rais Samia Suluhu Hassan

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter ujumbe wa kuwatakia wanafunzi wa darasa la saba kila la kheri na baraka za Mungu katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi iliyoanza nchini kote leo Jumatano, ambapo wanafunzi 1,397,370 wametahiniwa kufanya mitihani hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages