NEWS

Sunday 1 October 2023

Benki ya Azania yadhamini mbio za Mwl Nyerere Marathon Butiama




Na Mwandishi Wetu, Butiama
----------------------------------------


BENKI ya Azania imekuwa mdhamini mkuu wa mbio za Mwl Nyerere Marathon zilizofanyika jana Jumamosi Butiama mkoani Mara alikozaliwa Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere. 



Lengo la mbio hizo lilikuwa kuandaa na kuweka onesho kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum, hususan wasioona na wenye uono hafifu. 
Katika mbio hizo, wakimbiaji Hamis Athuman na Sarah Ramadhani waliibuka washindi wa kwanza kwa upande wa wanaume na wanawake. 

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages