MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi Marwa (katikati) ameongoza kikao maalum cha viongozi wa chama hicho tawala na Serikali mkoani humo, kilichokuwa na lengo la kuimarisha ushirikiano na kuboresha utendaji kazi kwa maendeleo ya wana-Mara. Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa CCM Mkoa - mjini Musoma, leo Ijumaa Oktoba 27, 23.
Washiriki wa kikao hiko wakiwemo Wenyeviti wa CCM Wilaya |
No comments:
Post a Comment