
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, leo Oktoba 7, 2023 amezuru na kufanya sala kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato, mkoani Geita.

Nyambari Nyangwine I Mariamu Nassoro Kisangi Na Mwandhishi Wetu, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamempong...
No comments:
Post a Comment