
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier akisaini kwenye Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 31, 2023. Anayeshuhudia pembeni yake ni mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment