NEWS

Wednesday 29 November 2023

Chongolo ajivua Ukatibu Mkuu CCM, Rais Samia aridhiaDaniel Chongolo

Na Mwandishi Wetu
----------------------------


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa huo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Jumatano na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amepokea na kuridhia uamuzi huo wa Chongolo.

Hata hivyo, sababu ya kujiuzulu kwa Chongolo haijawekwa wazi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages