NEWS

Sunday 26 November 2023

Pauline Gekul afukuzwa Unaibu WaziriPauline Philipo Gekul
------------------------------

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul.

Hata hivyo, taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus haikutaja sababu ya kufukuzwa kwa Gekul ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini kwa tiketi ya chama tawala - CCM.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages