NEWS

Friday 17 November 2023

Rais Samia apata ugeni wa Rais wa Romania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akimuongoza na kumkaribisha mgeni wake, Rais wa Romania, Klaus Iohannis alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Novemba 17, 2023, huku wasaidizi wao wakiwakinga mvua kwa miavuli.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages