
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Alex Gehaz Malasusa katika Kanisa Kuu la Azania Front, jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment