NEWS

Thursday 1 February 2024

KUU Tarime yafikisha elimu ya usalama kwa wachimbaji wadogo wa madini kijijini Nyamerambaro


Kamati ya Ulinzi na Usalama (KUU) Wilaya ya Tarime mkoani Mara - ikiongozwa na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Mwl Saul Mwaisenye (mwenye fulana nyeupe), jana ilikwenda kijijini Nyamerambaro kuwaelimisha wananchi masuala ya usalama kwa wachimbaji wadogo wa madini na kuwataka kusitisha uchimbaji kwenye mkondo wa maji.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages