NEWS

Saturday 17 February 2024

Rais Samia alivyoongoza Watanzania katika mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli mkoani ArushaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli mkoani Arusha leo Februari 17, 2024.


Mjane wa Marehemu, Mama Regina Lowassa akisali mbele ya jeneza lenye mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Monduli leo.
Rais Dkt Samia akisaini Kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli mkoani Arusha leo.


Viongozi wa dini wakifuatilia jambo wakati wa mazishi hayo.


Viongozi wengine wa juu serikalini na bungeni wakifuatilia jambo wakati wa mazishi hayo.


Rais Dkt Samia (kulia) akimpa pole Mjane wa Marehemu, Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili katika eneo la mazishi, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, Monduli mkoani Arusha leo Februari 17, 2024. (Piza zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages