NEWS

Sunday 18 February 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Makao Makuu ya AU, Addis Ababa, EthiopiaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Kenya, Dkt William Ruto, Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi mbalimbali wakati wakielekea kwenye hafla ya uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia leo Februari 18, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia leo Februari 18, 2024.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages