
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan (katikati), akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko (kushoto), wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa mauziano ya hisa za Kampuni ya Wentworth na mkataba wa uendeshaji wa Kitalu cha Mnazibay kati ya TPDC na Kampuni ya Maurel and Prom, Ikulu, Chamwino jijini Dodoma leo Februari 3, 2024.
---------------------------------------------
No comments:
Post a Comment