NEWS

Monday, 26 February 2024

Waziri Mkuu Majaliwa aweka jiwe la msingi ofisi ya Mkuu wa Wilaya Butiama



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kulia mbele), anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mara, ambapo mapema leo Februari 27, 2024 ameweka jiwe la msingi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Butiama inayoendelea kujengwa. Mwenye shati la kijani ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa huo, Patrick Chandi.
-------------------------------------------

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages