
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo Aprili 26, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wa ngazi za juu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania k...
No comments:
Post a Comment