NEWS

Monday 29 April 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan (kulia), akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya nchi hizo, ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi nchini Kenya leo Aprili 29, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dkt William Ruto mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi, Kenya leo Aprili 29, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages