NEWS

Sunday, 26 May 2024



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama, akimvalisha Nishani ya Heshima Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Kikwete kwa kutambua mchango wake katika eneo la Amani na Usalama Barani Afrika, wakati wa maadhimisho ya miaka 20 ya baraza hilo, yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam jana Mei 25, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages