NEWS

Thursday, 30 May 2024

Uchaguzi CHADEMA: Ngoto ashinda Uenyekiti Kanda ya Serengeti, Sugu ambwaga Msigwa Nyasa



Lucas Ngoto
------------------

Na Mwandishi Wetu
-----------------------------


Mwanasiasa Joseph Mbilinyi “Sugu” amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa.

Sugu alitangazwa mshindi baada ya kuvuna kura 54 dhidi ya Peter Msigwa aliyepata kura 52 katika uchaguzi uliofanyika jana.

Joseph Mbilinyi "Sugu"
-------------------------------

Naye Lucas Ngoto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Serengeti, akimshinda Gimbi Masaba kwa kura 45-44.

Kanda ya Serengeti kwa muundo wa CHADEMA inaundwa na mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages