NEWS

Monday 3 June 2024Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Rhobi Pristiana Samwelly (kushoto) akiteta jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Juma alipokwenda kumpa pole kwa kufiwa na mama yake mzazi mjini Tarime juzi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Patrick Chandi.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya mama huyo,

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages