NEWS

Sunday 16 June 2024


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Neema Charles (aliyevaa miwani) na Katibu wa UWT Tarime, Nyasato Manumbu wakipokea kadi za CCM kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa (kushoto). Kulia ni Afisa Tarafa, James Yunge ambaye alimwakilisha Mkuu wa Wilaya, Kanali Maulid Surumbu katika hafla ya makabidhiano hayo kwenye ukumbi wa chama hicho mjini Tarime jana Jumamosi. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages