NEWS

Monday 17 June 2024

Serikali yamtunuku Rhobi Samwelly cheti kutambua mchango wake wa kufanikisha maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili kwa Wazee 2024Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika la Hope for Girls and Women Tanzania, Rhobi Samwelly cheti maalum cha kutambua mchango wake katika kufanikisha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wazee 2024 ambayo kilele chake kilifanyika kitaifa wilayani Bunda juzi Jumamosi. (Picha na Mara Online News)

Rhobi pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages