
Rais Dkt Samia Suluhu
------------------------------
Na Mwandishi Wetu
----------------------------
------------------------------
Na Mwandishi Wetu
----------------------------
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amemteua na kumuapisha Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kwa mujibu wa taarufa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu Kiongozi, Mululi Majula Mahendeka jana Julai 11, 2024, Mombo anachukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu.
"Kabla ya uteuzi huu, Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa ofisi ya Rais, Ikulu," ilisema taarifa hiyo iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Sharifa Nyanga,
No comments:
Post a Comment