NEWS

Tuesday 2 July 2024

Rais Samia ampokea Rais Nyusi wa Msumbiji, wafanya mazungumzo Ikulu DarRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan (kulia) amempokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili Ikulu, jijini Dar es Salaam leo.


Marais hao wawili wanafanya mazungumzo ya pamoja yatakayojikita katika sekta ya biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama, kisha kushuhudia utiaji saini makubaliano katika sekta mbalimbali za ushirikiano.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages