
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya wapya, Angelina Marco Lubela (kulia) wa Serengeti na Thecla George Mkuchika (kushoto) wa Butiama, mara baada ya kuwaapisha mjini Musoma leo Julai 3, 2025.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi akimkabidhi Mkuu wa Wilaya mpya wa Serengeti, Angelina Marco Lubela, Kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2025-2030 mara baada ya kumwapisha mjini Musoma leo Julai 3, 2025.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi akimkabidhi Mkuu wa Wilaya mpya wa Butiama, Thecla George Mkuchika, Kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2025-2030 mara baada ya kumwapisha mjini Musoma leo Julai 3, 2025.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi (katikati waliokaa), katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya wapya, Angelina Marco Lubela (wa pili kulia waliokaa) na Thecla George Mkuchika (wa pili kushoto waliokaa), miongoni mwa viongozi wengine mara baada ya kuwaapisha wawili hao mjini Musoma leo Julai 3, 2025.
No comments:
Post a Comment