NEWS

Saturday 19 October 2019

DC MTEMI MSAFIRI WA TARIME ASHIRIKI IBAADA YA SABATO YA WAGENI

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Eng Mtemi Msafiri( katikati) muda mfupi  baada ya sabato ya wageni katika kanisa la SDA Tarime kati leo Octoba 19, 2019. Wakwanza kulia ni Mzee wa kanisa Johnson Maiga, Mkurugenzi wa Idara ya Vijana wa kanisa la SDA Jimbo la Mara  Mchungaji Shukrani Mtaki ( wapili kutoka kulia), Mchungaji Deogratius Nyangibo( wapili kushoto) na  wakwanza kulia ni aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa kanisa hili Jacob Mugini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mara  Online
DC Msafiri (mwenye miwani)akiwalisha keki watoto mara baada ya kushirki katika ibaada ya sabato ya wageni
Kwaya ya vijana ya kanisa la SDA Tarime kati

Baadhi ya washiriki  wakiwa katika ibaada ya sabato ya wageni

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages